Posts

Showing posts from February, 2016

ELANI FT CHAMELEONE-MY DARLING

Image
DOWNLOAD HAPA

Elani Ft Jose Chameleone-My Darling

Image

Mirror ft Baraka-Naogopa

http://www.youtube.com/watch?v=W9MkMJ9Hr6s&feature=youtube_gdata_player

HAYA HAPA MATOKEO YA FORM FOUR (KIDATO CHA NNE) 2015/2016

Image
TAZAMA HAPA  MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2015/2016 , By DJMaisha.

VIDEO YA ALIKIBA "LUPELA" YACHEZWA KWENYE KITUO KIKUBWA CHA TELEVISION NCHINI HISPANIA

Image
Download/Tazama Video : Hivi ndivyo wimbo wa Alikiba " LUPELA " Ilivyo Chezwa kwenye kituo kikubwa cha matangazo ya television huko nchini hispania, Hayo yametokea  Baada Ya Msanii Huyo Kujitokeza Kupinga vikali mauaji/kampeni dhidi ya ukatili na mauaji ya wanyama, Hitmaker huyo wa " CHEKECHA " Na nyingine nyingi   ni mmoja wa wasanii maarufu nchini Tanzania, lakini hataki mashabiki wake kusikia tu muziki wake bali pia ujumbe wake. Katika wimbo wake "Lupela" watetezi wa ukombozi wa tembo.   Si wiki kabisa wawili wa majaribio wa Uingereza, Roger Gower, alikufa akiwia risasi majangili katika Tanzania iliyopita.   Ali Kiba anaamini kuna kuacha ujangili. Ali Kiba, mwanamuziki kutoka Tanzania, anasema: "Labda wao kuwa na matatizo na madawa ya kulevya Kila kitu ni kwa pembe za ndovu, jinsi gani unaweza kuua kiumbe kingine binadamu kwa pembe za ndovu Ni mambo Sielewi, si haki ...?" Katika tukio nyota-studded jijini Dar es Salaam, wanamu

Duro REmix (Swahili Version) Leo Mystereo

Image

MSANII JOHN WOKA AFARIKI DUNIA

Image
MSANII JOHN WOKA AFARIKI DUNIA Msanii wa kizazi kipya ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kuimba kama mlevi, Joni Woka amefariki dunia alfajiri ya leo. Woka amefariki baada ya juzi kupata ajali ya kulipukiwa na mtungi wa gesi. Alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.   Hii ni taarifa iliyotolewa na mtu wa karibu na rapper huyo kuelezea ajali hiyo:   "Walikuwa wanahangaika kurekebisha usafiri kwenye garage hapo Sinza, sasa katika kuhangaikia upande wa AC mtungi wa gas ukalipuka,moja ya vipande vya chuma chenye ncha kali kikamchoma kichwani. Madaktari wanahofia imefika mbali kiasi kwamba damu inamwagikia kwenye ubongo." Msanii John Woka ambaye alikuwa kwenye kundi la Watukutu Family, alijipatia umaarufu kwa nyimbo zake za Sophia, baby gal na nyinginezo, ambazo aliziimba kwa mtindo wa ulevi, Ndo hivo tena  Mungu Ailaze Roho Ya Marehem Mahali Pema Peponi "Amen" 

Barakah Da Prince Siwezi Extended bY DJ Maisha

Image
Siwezi Extended Barakah Da Prince| DOWNLOAD

Eddy Kenzo ft Patoranking-Royal @DJMaisha Kanani (Official Video)

Image
Hii Ndo Video Ya Eddy Kenzo ft  Patoranking "Royal" DOWNLOAD

Darassa ft Rich Mavoko - Kama Utanipenda DJ Maisha Kanani ( Official Music Video )

Image
Download  Video Ya  Darassa ft Rich Mavoko - Kama Utanipenda Hapa DOWNLOAD

DJ Maisha Kanani: Barakah Da Prince Siwezi Extended

DJ Maisha Kanani: Barakah Da Prince Siwezi Extended : Barakah Da Prince Siwezi Extended DOWNLOAD

Barakah Da Prince Siwezi Extended

Image
Barakah Da Prince Siwezi Extended DOWNLOAD

YEMI ALADE, OLAMIDE, IYANYA, TEKNO, SELEBOBO - MAMA OYOYO,DJ MAISHA KANANI PROMO (OFFICIAL VIDEO)

Hii Hapa Ile Video Ya Ngoma Kali Kutoka Kwao   YEMI ALADE, OLAMIDE, IYANYA, TEKNO,  NA SELEBOBO   "MAMA OYOYO" KAMA VIPI IDOWNLOAD HAPA

DJ Maisha Kanani: Mani Martin-Same Room @DJ Maisha Kanani (Official ...

DJ Maisha Kanani: Mani Martin-Same Room @DJ Maisha Kanani (Official ... : PLAY/DOWNLOAD HAPA

Mani Martin-Same Room @DJ Maisha Kanani (Official Video)

PLAY/DOWNLOAD HAPA

Ben Pol & Jux - Nakuchana

Download Hapa

AKA & Diamond Platnumz - Make Me Sing DJ Maisha Kanani Blog (Official Audio)

Download Hapa
Ahahaaha Aki ya Mungu Huyu mtoto Wa Ngara Ni vituko Baraah!! Hebu cheki Mwenyewe Hapa Download

Godbicko ze Mafia ft Gava-take over

Download Hapa

Rich Mavoko-I Love You

Download Here