Posts

Showing posts from April, 2016

Rick Kazungu Furaha Yangu

Image
Rick Kazungu-Furaha Yangu. DOWNLOAD HERE

Raymond-Kwetu Extended

Image
Raymond-Kwetu Extended DOWNLOAD HAPA

MBWANA SAMATA AZIDI KUING'ARISHA NYOTA YAKE HUKO #GENK MARVIN BAUDRY NCHINI UBELGIJI.

Image
Hatimae Mbwana samata Azidi Kuitangaza Tz Kwa Kufanya Maajabu Huko Ubelgiji, Timu anayochezea Mtanzania, Mbwana Samatta ya Genk imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Zulte-Waregem katika ligi ya nchini Ubelgiji. Katika mchezo huo, Mbwana Samatta aliweza kupachika bao kupitia dakika ya 8 ya mchezo huo ya kipindi cha kwanza. Mbali na Mbwana Samatta pia mchezo wa timu hiyo ya Genk Marvin Baudry alifanikiwa kupachika bao la pili dakika ya 15 na kufanya matokeo kuwa 2-1. Hata hivyo wapinzani hao wa akina Mbwana Samatta walifanikiwa kupata bao la kufutia machozi katika dakika ya 45, kwa njia ya penati iliyofungwa na Mbaye Leye.

Malaika Rarua Rarua (Lalua Lalua).

Image
Malaika Rarua Rarua DOWNLOAD

Mahaba Niue - Maua Sama (www.djmaisha.blogspot.com)

Image
Maua Sama-Mahaba Niue Official Video.

Dj Maisha Kanani Ngara Kagera Tz

Image
Dj Maisha Kanani-Ngara